andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hata usiombe ruhusa mama,ukuje tu kwa hiari ya nafsi yako[emoji1][emoji1][emoji1]nipe ruhusa nikamfilisi vihela vyote alivyonavyo
Hata usiombe ruhusa mama,ukuje tu kwa hiari ya nafsi yako[emoji1][emoji1][emoji1]nipe ruhusa nikamfilisi vihela vyote alivyonavyo
Ila we mbaya sana...Hahahahaha......yaani
Safi sana[emoji122][emoji122][emoji122]Kipindi hiki ukiletewa nakataa na vile nimesha beba Babe S ndio kabisa nakataa
HellowHi Carba
[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umesamaa??[emoji23][emoji23][emoji23]hivi kuna mwanaume anaejua kukataa??
Jiangalie sanaNsamaka bora nikamtafute zangu mjomba [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Babe ungenipa ruhusa kidogo tu nikale hizo hela za maparachichi na hivi anakuja kuyauza huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimfilisi tu arud tukuyu kwa miguu[emoji23][emoji23][emoji23]Hela ye zake si anazo za kazini nikimuongezea na zangu, she is miss independent awezi papatikia
Senti zako za maparachichi
We ujiuliz kwann namng'ang'ania
Mimi huwa nakataa.Ila ukinibembeleza saaaaana ndio nakubali,yaani nakuwa nimekuonea huruma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha...nami nasubiria hilo jibu....
Hahaha kwa kweli... na inaendaga haraka sana w'end....Mimi pia nashukuru ipo mwanana kabisa ila natamani wangeongeza siku iwe tatu badala ya siku mbili🙂🙂
Usijali utanikuta stendi nakusubiriHata usiombe ruhusa mama,ukuje tu kwa hiari ya nafsi yako