Hahahaha...Nasikia unasukuma na magurudumu
[emoji23][emoji23]kumbe katekwa na andjul eehKale kakija kalisema kana kuja kwetu ila hakufika labda yupo na Nsamaka maana vijana kwa kuzunguukana .....
Mzee muda wako wakuja clinic umekaribia njoo niangalie tezi dumebabe S ana malengo huyu mama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui na huyo nani sijui akimaliza shule ....
Wewe je?Kwa mfano bro wangu shimba ya buyenze, yaan mwanamke akiwa kapigwa pasi kama mchina hata amtake viph atampotezea
HahaaHahahaha.......haya....mi nilikua nampa salam tu Cole... I hope zimemfikia maana...[emoji12]
babe SHahahahah .......ndo una.....!?
[emoji16][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16]Unasukuma hadi chapati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe uliefikia na kuyajua na tezi dume umeshindwa kulitibu mpaka mimi nikutibuWewe ni sawa.Haujafikia umri wa kuyajua haya tunayo yaongelea hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yes andjul...babe S
[emoji2][emoji2][emoji2]mrudisheni mchina jamaniMchina ukimuona kabadilika kawa mmakonde
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] jamani mapenzi yananitatiza eee[emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji443]Kipindi hiki ukiletewa nakataa na vile nimesha beba Babe S ndio kabisa nakataa