PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Wewe tena mwenye madawa yako njoo na Dandelion kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]niite nije kushuhudia
Good night numbisaGoodnightView attachment 553798
Mimi au Numbisa?Mkoromije kskimbia na yeye
Mkoromije????
[emoji55] [emoji55] [emoji55][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] uko wapi nikuone[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
Mchina nilimkanya nikamuambia hataona JF tena hakusikiaUnatafuta ugomvi naona[emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa tanga huyo shauri yako utapotea kama mchina
Ila zangu sio za mawazo kama zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hela ye zake si anazo za kazini nikimuongezea na zangu, she is miss independent awezi papatikia
Senti zako za maparachichi
We ujiuliz kwann namng'ang'ania
We siutaki kuimbiwa wala hutaki maneno mazuri[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] uko wapi nikuone[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
Hahahaha...inabidi tuongee na Gejo vizuri....amleteMapenzi yana nguvu aisee. Uniq alitupiga mkwara juzi hapa sasa kaibuliwa. Hata KK angekuwa na mtu wa kueleweka hapa angekuwa kesharudi!
Ngoja awe na adabu[emoji2][emoji2][emoji2]mrudisheni mchina jamani
Kwa kweli shemeji siwezi kuficha. Bila kamsambwanda angalau ka kutimbwilika timbwilika wakati wa kutingisha bakuli uji ukinywewa kwa kweli hapana! [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji23][emoji23][emoji23]SHIMBA YA BUYENZE ya kweli haya?
Na wewe
Hata ukisema kesho,mimi ndani ya lipanga boi huyoooo hadi mbagala maji matitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo tutumie basi[emoji23][emoji23][emoji23]hivi waja lini vile[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
HahahahMapenzi yana nguvu aisee. Uniq alitupiga mkwara juzi hapa sasa kaibuliwa. Hata KK angekuwa na mtu wa kueleweka hapa angekuwa kesharudi!