babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,859
Hahahah...Nimeamini mapenzi yananguvu,mara ya pili hii babe S anamrudisha uniq
Hahahah...Nimeamini mapenzi yananguvu,mara ya pili hii babe S anamrudisha uniq
Nifanyaje sasa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] huruma ni kusaidiana[emoji23][emoji23][emoji23]et umemuonea huruma
Haaaa mnatuonea[emoji23][emoji23][emoji23]#bringbackourhochiminh#
[emoji23][emoji23][emoji23]nyie ndo mnatufanya tuvae vigodoro kwakweliKwa kweli shemeji siwezi kuficha. Bila kamsambwanda angalau ka kutimbwilika timbwilika wakati wa kutingisha bakuli uji ukinywewa kwa kweli hapana! [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Uniq ongezea ng'ombe kudadadeki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kulala siwezi, kusema siwezi...chakula sikitaki nakiona.....[emoji445] [emoji445]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na maparachichi?Hata ukisema kesho,mimi ndani ya lipanga boi huyoooo hadi mbagala maji matitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpare kwishney. Na ubahili wote tupa kule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo kaka Nimerudishwa na Babe S
[emoji73][emoji73][emoji512][emoji320][emoji324]Kwa Babe S mapaka ndoa itimie
Nipo shemeji na nimeshakujibu...Nimemuuliza hilo swali kanikimbia
[emoji23][emoji23]mwache kaenda kulala mwenzio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cole kwisha habari yake. Bado ameshindwa kusoma mchezo??? Madhara ya kusoma boys school hayo....