Na wewe pia?Kweli kabisa
Mweee GeJo!!! Mbwembwe zote zile amebaki peke yake??Kichwa alikuwa taperi wa kimkoa kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]GeJo kweli atafutwe aongoze kampeni hii muhimu.
Mpaka KK arudi atamkuta GeJo yupo "MIMBA"GeJo anauguza ka moyo kake mana aliambiwa haachwi sasa KK kaondoka
Sio uji[emoji23][emoji23][emoji23]Mama Penzi zito kuliko Damu
The boy who cried wolf. Sasa hata akitupiga mkwara tutakuwa tunacheka tu!Nimeamini mapenzi yananguvu,mara ya pili hii babe S anamrudisha uniq
11:33
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSE is on my side forever
Nshaupata...Wewe kulikua na ujumbe wako huko...
Sanaaaa hasikii wala haoni...[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Yaaani.........nimemtumia na ujumbe ila....atakua anamwamini carba[emoji6] [emoji6]
Hivi wewe ni wakuvaa vigodoro[emoji23][emoji23][emoji23]nyie ndo mnatufanya tuvae vigodoro kwakweli
Naomba nikuonee huruma[emoji16][emoji16][emoji16]Nifanyaje sasa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] huruma ni kusaidiana
Waache waoane[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji73][emoji73][emoji512][emoji320][emoji324]
Cole ni mmoja wa walio karirishwa ya kuwa 2+2=4. Kumbe kuna muda inakuwaga 22[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi ufumaniwe ndio inarudi kuwa 4.Yaaani.........nimemtumia na ujumbe ila....atakua anamwamini carba[emoji6] [emoji6]