carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mdogo wako ndo kakimbiaNipo shemeji na nimeshakujibu...
Mdogo wako ndo kakimbiaNipo shemeji na nimeshakujibu...
Hahahahah.........inabidi mmsaidie kumfariji wewe na "Cole" [emoji23][emoji16]GeJo anauguza ka moyo kake mana aliambiwa haachwi sasa KK kaondoka
Njooni mchukue ng'ombe wa maziwa mnao taka mkabadilishe mazizi yenuUniq ongezea ng'ombe kudadadeki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah...[emoji16][emoji16]Uniq ongezea ng'ombe kudadadeki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
GeJo sasa hivi anaimba paraboz mana kaambiwa sikuachi hata masaa mawili hayajapita jamaa kasepa[emoji23][emoji23]Mweee GeJo!!! Mbwembwe zote zile amebaki peke yake??Kichwa alikuwa taperi wa kimkoa kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpare wa mjini mimiMpare kwishney. Na ubahili wote tupa kule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cole akikuelewa unijulishe.....ukiona manyoya...." naomba umfikishie huu ujumbe Cole[emoji6] [emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23]mijibaba ninakamatia fursaMpaka KK arudi atamkuta GeJo yupo "MIMBA"
Hapana shemeji. Hapa duniani kila mtu na wake. Naamini kuna wengi ambao hawapendi TV za chogo....[emoji23][emoji23][emoji23]nyie ndo mnatufanya tuvae vigodoro kwakweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii familia kwa kashfa haijambo..Mrudishe mchina wa watu bhana [emoji12][emoji12]
Sasa si mnataka misambwanda?Hivi wewe ni wakuvaa vigodoro
Hahahahahah....dahMweee GeJo!!! Mbwembwe zote zile amebaki peke yake??Kichwa alikuwa taperi wa kimkoa kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kwako piaUsiku mwema wandugu
Carba, mtoto akitoka kuoga na kanga yake ya india hajajifuta maji, basi unaburudika ukiangaliNa wewe pia?
Shika yako mtu mzimaAcha imani za mapepo
Hahahah ......Lol!!!Mpaka KK arudi atamkuta GeJo yupo "MIMBA"