Nini????[emoji55] [emoji55] [emoji6] Hahahahahaha.....inawezekana maana andjul mwenyewe....
[emoji23][emoji23]sasa hivi nishamwambia marufuku kukaa karibu na GeJoNgoja kesho umkute kwenye boma la GeJo kachoma mkuki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante nikikuota usinikasirikie sina control
Hahah...aendelee kulala........Naomba mumuache Cole wangu kalala jamani[emoji2][emoji2]
Kwenda hukooMzee muda wako wakuja clinic umekaribia njoo niangalie tezi dume
Babe S hana kusudi lipo na hapa ndani niangalia tu.[emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona unavuokodoa macho[emoji23][emoji23]na ukute ni wale wanaojua kufanya makusudi sasa
Huyo huyo[emoji23][emoji23][emoji23]tatizo mnamapenzi ya kijeshiMhh!! Msukuma huyu ninae mwangalia hapa au unamsema yupi???
Na wewe pia mkuu. Mungu Akulinde!Wakuu mlale salam
Abiria chunga mzigo wako ohoooo![emoji55] [emoji55] [emoji55]
Uuuwiiiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ota unachezesha mechi ya man u hata na yanga[emoji23][emoji23][emoji23]Asante nikikuota usinikasirikie sina control
Kijana acha dharau...Wewe uliefikia na kuyajua na tezi dume umeshindwa kulitibu mpaka mimi nikutibu
Carba nilisha sema ingukuwa kuna uwezekano wa kukutafuta ningekutafuta nikaweka picha yako humuNimeridhika na flat mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema tu humu hatujuani. Wengine humu mu warembo ka malaika!Nimeridhika na flat mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi,nitakuambia kesho.Au akilala huyo mwanao wa hiari nijulisheYes andjul...
Nani kakutibua sis?