Pengine ndo maana haji hapa. Mtafuteni nyie mabinti wenzie mmfariji![emoji23][emoji23]mijibaba ninakamatia fursa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasikia unasukuma na magurudumu
Usingizi tu naonaKaenda wapi? Andjul kamtibua ama?
Hei. Ni mke wa mtu huyo ohoooo!Carba, mtoto akitoka kuoga na kanga yake ya india hajajifuta maji, basi unaburudika ukiangali
Hahahaha[emoji16][emoji23] abiria chunga....Weeeee Cole nishampiga marufuku kukaa karibu na GeJo [emoji23][emoji23]usintafutie balaa
KK sukari yao[emoji23][emoji23][emoji23]sasa imekuwa shubiri kwa GeJoMweee ji anadume limetutia aibu.
Na usipo kuwa makini utalia humu humu ndaniWeeeee Cole nishampiga marufuku kukaa karibu na GeJo [emoji23][emoji23]usintafutie balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mhasibu mkuu wa wizara huyo anajua kucheza na namba ohooo![emoji23][emoji23][emoji23]we mzee wewe
Hahahahahah...Tusaidiane kwenye shida.Hata maandiko yametushauri hivyo
Ndio mana nimemchagua Numbisa hakwepeshi[emoji23][emoji23][emoji23]yule wa kishua wangeanza kuimbiana paraboz[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bwanaako kwa udekaji wake,kwa Numbisa atabalaswa na mwiko wa mgongo
Hadi maandazi ya Mungu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unasukuma hadi chapati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ka-Cherrie je? Kakianza kumwaga ujuzi wa football na kuweka makwotesheni?Weeeee Cole nishampiga marufuku kukaa karibu na GeJo [emoji23][emoji23]usintafutie balaa
We nawe mchochezi[emoji23][emoji23]Hahaha.........ngoja nihifadhi maneno kwa sasa....teh teh
Hahaha...[emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona unavuokodoa macho[emoji23][emoji23]na ukute ni wale wanaojua kufanya makusudi sasa