Duhhh! Unalipa kwa kashfa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njooni mchukue ng'ombe wa maziwa mnao taka mkabadilishe mazizi yenu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] litapeli kweli lile lijamaaGeJo sasa hivi anaimba paraboz mana kaambiwa sikuachi hata masaa mawili hayajapita jamaa kasepa[emoji23][emoji23]
Hapana chezea KK[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] litapeli kweli lile lijamaa
Mimi hivyo hivyo[emoji39] [emoji39] [emoji39]Sasa si mnataka misambwanda?
Hahaha.. Kabisaa...nimeamka tena lkn, uniq kanishtua...[emoji6]Hata nusu saa hujamaliza tangu uje humu tayari macho yameanza kukorofisha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mweee ji anadume limetutia aibu.
Unalala!?Usiku mwema
Hahaha...nsamaka akitokea...simo..Usiwe na shaka mama huyo wako...me nataka hela ya andjul tu[emoji23][emoji23]
Mzee wa kuparamia yule,siajabu akakutana na ingizo jipya hapa.GeJo ndio itakuwa kwisha habari yakeNgoja amalize operesheni yake Kibiti. Kukitulia tu mtamuona laivu hapa!
Asante kwa kuja........ulale vizuri......Usiku mwema wapendwa...mlale salama
Ufunikwe na baraka za Muumba
Tukutane kesho panapo majaaliwa
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Kwani....???Inawezekana
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Familia ya watekaji[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahah[emoji23][emoji23][emoji23]Usimwamini saaana kisa unamsomesha.Kumbuka kuwa
Wivu huo...[emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona unavuokodoa macho[emoji23][emoji23]na ukute ni wale wanaojua kufanya makusudi sasa