Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*" vipepeo ni wazuri" Lakini!!! Hawana ASALI, Bali nyuki wanang'ata ndio wanatoa asali, WAKATI MWINGINE WALE UNAOWAONA WAZURI, NA WEMA KWAKO, HAWAJABEBA BARAKA ZAKO!!!*
*BALI WALE UNAOWAONA WAKALI, NA WASIOFAA!!! NDIO MUNGU AMEWEKA BARAKA ZAKO,!!!*
Mungu atupe kuona" WEMA ndani ya kile ambacho tunaona ni" KIBAYA".

Time Of Church Nw


Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKIKUTANA NA SIMBA GHAFLA, FANYA HAYA..

Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI au KIFUDIFUDI!

Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!

Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!

Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...

*Weee mi nakuchekesha tuu. Hiyo siku jiongeze mwenyewe* [emoji81][emoji81][emoji81]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom