Habari ya wewe nsamaka....Kwakweli nimewamis sana, nilikuwa busy kidogo ila leo km kawa mahudhurio yangu lazima yawe mazuri
Tunakumiss pia karibu tenaAndju
Carba
Mzee wa liver
Kaka shimba
Isis
Baby s
Kichwa
Chakii
Numbisa
Na mashemeji zangu wote na wale ambao sijawataja nawamis sana.
Njema carba, habari ya ww. Shemeji hajambo?Habari ya wewe nsamaka....
Asante j2 njema na kwakoHata mimi nakumiss
J2 njema
Me mzma na shemeji yako mzima kabisa...sijui wewe na andjulNjema carba, habari ya ww. Shemeji hajambo?
Tupo tunapambana na mahusiano yetu.Me mzma na shemeji yako mzima kabisa...sijui wewe na andjul
Asante sanaAsante j2 njema na kwako
[emoji2][emoji2]haya mama pambanaTupo tunapambana na mahusiano yetu.