ISIS awezi kuwa na mapepo, we ushawai kuona Masaki Kuna mapepo, mapepo labda mbagala tandale tandika huko, sio Masaki kwa ISISMambo ya kuamini binadamu kaumbwa na jua, sijui miungu ya wamisri mara Mungu ni jua ndo huyo analetahapa. No wonder kaniblock fastaa na mapepo yake akasambazie kwenye comments zingine