Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwanini sasa shetani anatuonea na tunamwona kuwa anazo nguvu nyingi sana?!

✍Jibu rahisi, tunatafuta kumjua sana yeye na nguvu zake badala ya kumtaka Bwana na nguvu zake.

✍Tunatafuta miujiza na maajabu badala ya huyu Mungu afanyae yote hayo.

[emoji404] _Kadri utakavyomtaka Bwana na nguvu zake, ndivyo atakavyo jidhihirisha kwako na kinyume chake._


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika maisha watu wengi tumekuwa tukifurahia uwepo wa watu fulani hasa kipindi cha kwanza wanapokuja katika maisha yetu lakini tunapoanza kugundua udhaifu wa hao watu tumekuwa watu wakuwalaumu na kuwasema vibaya.. Tunasahau kuwa sisi wenyewe ndio tuliowapenda mwanzon.. Na baada ya hao watu kufikia hatua fulani za kimaisha au baada ya hao watu kupata msaada kwa wengine ndipo sasa tunaanza tena kuona umuhimu wa hao watu lakini kwa bahati mbaya tunakuwa tumechelewa.. [emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpendwa! Hata leo bado Mungu ni mwema kwetu. Hivyo tumsikie kupitia Yeremia 39:17 - *Lakini nitakuokoa wewe katika siku hiyo, asema Bwana; wala hutatiwa katika mikono ya watu wale unaowaogopa.*

Ktk hali ya kawaida wengi wetu tumekuwa tukiogopa watu, tukiogopa mazingira na hata changamoto zilizopo mbele yetu.

*Hivyo nikutie moyo kwani Mungu ametuahidi kuwa hatutatiwa ktk mikono ya tunavyoviogopa.*

Mungu akubariki kila iitwapo leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…