Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*SIKU YA LEO IWE BARAKA KWA JINA LA YESU KRISTO*

UKABARIKIWE UINGIAPO NA UTOKAPO PIA KWA JINA LA YESU KRISTO

MUNGU AKATUME UTUKUFU WAKE UKULINDE KWA JINA LA YESU KRISTO...

AKUEPUSHE NA DHAMBI AMBAZO SIO ZA KUTARAJIA SAWASAWA NA *HEB 12:1-3* KWA JINA LA YESU KRISTO!

AUTUNZE MGUU WAKO SHETANI ASIPATE NAFASI KWA JINA LA YESU KRISTO!!!

SEMA AMEEEN NA SHARE ILI WENGI WANUFAIKE KWA *MAOMBI* HAYA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom