Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
UWIVU UTAKUUA MAMA MTU MZIMAMasaki ndo yamejaa mapepo yale ya kimya kimya na manafiki haswa haswaaa bora huko ulikotaja yako wazi Wazi
Likes likesNi ufalme wa wote mkuu na huku hatubaguani. Unatandikwa likes na wewe unagonga likes na maisha yanasonga mbele
YapInasemekana wewe ndo umemteka mchina
Teh teh...akulindie kwa kweli maana....Bro Safi Sana nilindie huyu binti
Hamchapi mtuu ataishia kupotea kama KKHahahah....nimemuona naye anawinda kuchapia...
Hahahahaha maembe dodo[emoji23][emoji23]mbona ka maembe dodo
Mkuu niajeNasalimia tu
Mimi natoa like tuuUWIVU UTAKUUA MAMA MTU MZIMA
TAFUTA KAZI
YEYE AMESHA KUPUUZIA NAWE ACHANA NAYE
UNAJIAIBISHA MTU MZIMA
Hakika....kula likeKwanini sasa shetani anatuonea na tunamwona kuwa anazo nguvu nyingi sana?!
✍Jibu rahisi, tunatafuta kumjua sana yeye na nguvu zake badala ya kumtaka Bwana na nguvu zake.
✍Tunatafuta miujiza na maajabu badala ya huyu Mungu afanyae yote hayo.
[emoji404] _Kadri utakavyomtaka Bwana na nguvu zake, ndivyo atakavyo jidhihirisha kwako na kinyume chake._
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wewe ulaliOiiiii hamlali au?
The one and only
The one and only