Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kamari hatari sana lakini ya mpira somehowUnaweza ukachagua vuvuzela yani timu iongoze kipindi cha kwanza na cha pili au
unaweza ukachagua timu iongoze kipindi cha kwanza then cha pili itoke sara au iongoze timu pinzani
Please Cole, nilesema kweli ukiona mtoto ametoka kuoga na kanga moja. Nikiwa na maanisha kuwa msambwanda ni muhimu bint awenao sio msambwanda wa CarbaUniq please niachie my woman
Please
Lakini wacheza kamari wakubwa ndio wanaharibu soka wanatembeza pesa kwa marefa na wachezaji hili bets zao ziende sawaUnaweza ukachagua mchezaji wa kufunga goli katika mechi
Ni CONSPIRACY lakini ngoja nikamtafute zangu mjomba [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124].....ukiona manyoya...." naomba umfikishie huu ujumbe Cole[emoji6] [emoji12] [emoji12]
Wacheza kamari wa Thailand ndio hatari zaidi dunianiKuna direct selection au normal yani timu uliyochagua ishinde
Kuna double chance yani timu ishinde au itoke sare