Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Tunafurahia sio tunapambana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tupo tunapambana na mahusiano yetu.
Umbea tu unakusumbua[emoji2][emoji2]haya mama pambana
Hatujambo mwenyekiti tupe stories za JpiliHamjambo wananchi..!
Uliona mbali sana JF wanatakiwa kukukatia kidali kidogo kutuweka humu mastaa yote haya duh!Uzi upo active mubashara kabisa