Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Nakumiss kila wakat mupenzi wangu wa dhati, yaan furaha yangu inakutegemea wwBora mupenzi umekuja mana nilikumiss mbaya
CarbaNani tena sio mmbeya atakuwa mruvuma
[emoji23][emoji23][emoji23]umesemaaa?kumbe unaorodha eehSijawahi kuchepuka naye, yaani nimeangalia kwenye orodha hayumo,usisumbuke kabisa kumuwazia
Hakuona km nimekuja eeeh? Kumbe ndio zenu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haukuona?
Tupo bhana tunadumisha love[emoji173]Kwema kabisa
Kikubwa kaa mbali nae[emoji23][emoji23][emoji23]mama mbona hujiamini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walah ww hunijui,mtakuwa mlijitanua sana wakati sipo
Pambana mama pambana [emoji23][emoji23]Zamu yangu haiishi katu.
Asu ningelikuwa nguo ningekuazima univae milele[emoji444] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji443]We nidanganye danganye tu ukinambia ukweli nitaumia[emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji445]