Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Unajua humu mnaweza kuwa watano tu lakini speed yenu inatosha kabisa na wenye uzi wenu hamulalamikiani kuhusu kupeana likes
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wameshibaMmh wanamatatizo hao
Hatujambo mwenye nchiHamjambo wananchi..!
AMUN RAAMUN RA
Halafu huyu ananitafuta maneno huyuUmeitika vizuri ila umaliziaji wake mbaya.Mume wa mtu mimi ujue!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tayariiiiiUmesemaa???
MubasharaUzi upo active mubashara kabisa
Heyhaya haya
HahahahahaTunafurahia sio tunapambana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu ww unanitafuta maneno walah. Kaa mbali na andjul aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tayariiiii
Asante sina hamu tena...hiyo ya povu nilikua sijui huwa napaka vasseline au asali...asante kwa nyongezaPole sana,naona mtandaon wanasema ni dawa hasa ikiwasha ndo inaingia vizuri
Siku nyingine ukiungua na uji au mafuta paka sabuni yoyote ya kufulia lile povu lake ni dawa au mafuta ya baby care
Na mimi namtafuta panjuani[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mida hii ya kumtafuta Mjomba
Nani tena sio mmbeya atakuwa mruvumaUmbea tu unakusumbua
Hi BobSent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikiungua namwagia maji ya baridiiii panapoa,ila baada ya masaa machache yanatokea malenge lenge,sijui kwa nini???Pole sana,naona mtandaon wanasema ni dawa hasa ikiwasha ndo inaingia vizuri
Siku nyingine ukiungua na uji au mafuta paka sabuni yoyote ya kufulia lile povu lake ni dawa au mafuta ya baby care