Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yawezekana hata isiwe gym [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama kajimwagia maji
Yawezekana hata isiwe gym [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama kajimwagia maji
Jana nilikupiga swali lakini sikupata jibuHuku salama Mzee wa Masaki!
Claudio makelele alikua anakaba mpaka kivuli,kati ya mtu au mpira kuna moja wapo atabaki nachoHahaha kuliko
Claudio Makelele
Hahaha wahenga kwa raha zetuNaona wazee mnafarijiana
Ujue nipo lkn
Umesemaa???[emoji23][emoji23][emoji23]siachi hadi "nisikie nawaona mjue"
Hatari sana
Hii pia unaweza tumia kama scrub ni nzuri kwakweli3...kutoa sugu... . Chukua machungwa ya kutosha menya...yale maganda yakaushe hata siku 3 juani mradi yakauke sanaaa yakikauka yatwange........ na yachuje na chujio la unga ila upate unga laini chota kiasi changanya na mtindi usio na radha yyte (plain youghurt) mpk uchanganyike vzr....paka eneo husika acha dk 20 kisha massage acha tena 10 ....acha tena dk 5 afu osha na maji ya vugu vugu..... Hizi njia matokeo utaona kuanzia week 3 km utafanya mfululizo.....njia zipo nyingi mno kwa leo zimetosha!
Chukua beseni weka maji kipimo ukiweka miguu nyayo zinazama....tia sabuni ya maji au shampoo maalumu ya miguu...loweka miguu yako dk kadhaa....theni chukua dodoki au jiwe la miguu jisugue....baada ya kujisugua jikaushe miguu vizurri alafu chukua mafuta yyte ya kula au olive oil paka miguuni alafu vaa soksi (zisiwe nyeusi)then lala...fanya hivi week 2 tu miguu soft no gagaz
Siku nyingine ukiungua na uji au mafuta paka sabuni yoyote ya kufulia lile povu lake ni dawa au mafuta ya baby careNilishawahi paka utomvu wa alovera kwenye kovu la moto aiseeh niliwashwa hadi nikajuta
AMUN RA3:03
AMUN RA
Unawaza kinyume nyume shemeji. Naongelea utu. Heshima. Upole. Kujali. Ungekuwa na haya kusingekuwa na hizi safari za mara kwa mara kwenda Kibiti kumtafuta KK au pwani huko kwa Moudgulf.
Je una vinyusi vichache kiasi kwamba unashindwa kuchonga nyusi kwa style upendayo?au hata ukipaka wanja wa lulu hupendezi?....basi kama unataka kuwa na nyusi nene na nyeusiii...step ya kwanza jenga tabia ya kupitisha mswaki kwenye chusi km vile unazipanga nyusi na kusugua uchafu...nyusi hugoma kuota kwa wingi kutokana na kuzuiwa na dead cells zilizopo ktk ngozi ya pembeni mwa nyusi zitokanazo na lotions,mafuta,makeups,jasho n.k sasa ww unapojisafisha daily na mswaki laini unatoa zile dead cells na nyusi mpya zinaanza kutokea juu na chini.