Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2739.JPG
 
Mkuu samahani. Kutokana na avatar yako basi mimi siku zote najua we ni binti. Mtandao!

Video sijaiangalia lakini nadhani jibu la swali lako litajibiwa na ishu za kitamaduni!
Hahahahaaaa nimeshakusamehe.Lakini kwa uelewa wangu suala la utunzaji familia halihusiani na utamaduni ila sisi wanaume tukioa tunawachukulia wake zetu kama ni watumishi wetu wa kila jambo na kazi yetu kubwa ni kutafuta chakula cha mchana na usiku basi hatuna habari ya kushughulikia kazi za ndani na kuhudumikia watoto
 
Back
Top Bottom