Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
D530
Misambwanda ya Sauzi hii mkuu.
Daaah mda sio mrefu hatutaitwa wahenga tenaTUNAKUMBUSHANA TU
Mwaka Umri
1990. 27
1991. 26
1992. 25
1993. 24
1994.23
1995.22
1996.21
1997.20
Sasa wewe endelea kujiona bado mdogo [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusabahi...habari ya jumapiliMisambwanda ya Sauzi hii mkuu.
Shemeji. Unauliza majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali?[emoji23][emoji23][emoji23]umempa nini uniq??sio kwa mashairi hayo
Jumapili njema kabisa. Sijui kwako huko na bwana mdogo!Nakusabahi...habari ya jumapili
Shemeji sijawahi kumuona uniq anaimba mashairi kama leo ikabidi niulize isijekuwa kachezea chaga jana[emoji2][emoji2]Shemeji. Unauliza majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali?
Huku kwema kabisaJumapili njema kabisa. Sijui kwako huko na bwana mdogo!
Kwema mdogo wangu? Jumapili inaendeleaje?Shimba ya buyenze