*hekima toka kw babu*
Cku zote asie na upeo w kufikilia ujiona yuko sahihi na uwakosoa wenzie] nivyema kujifanya mjinga na haujui chochote ata kw unacho kijua maana wapo wanao jua zaidi ili nawe ujifunze zaidi,
Ni busara kunyamaza kw mpumbavu ili kumzihirishia upumbavu wake,
Mwenye hekima ujiepusha kw vi2 vicvyo na maana ili kui2nza eshima,
Ni vyema kumuomba msamaha ulie mkosea il ujifunze kw atae kukosea.
TUNAKUMBUSHANA TU
Mwaka Umri
1990. 27
1991. 26
1992. 25
1993. 24
1994.23
1995.22
1996.21
1997.20
Sasa wewe endelea kujiona bado mdogo [emoji23][emoji23]
“Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu. BWANA atanitimilizia mambo yangu; Zaburi 138:3, 8a, 2, "Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu, Nitalishukuru jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako, Kwa maana umeikuza ahadi yako, Kuliko jina lako lote.” Asante Mungu kwa Neno lako ambalo umelikuza kuliko jina lako lote. Asante kwa sababu wewe ndio utanitimizia mambo yangu ambayo nimekuwa nikikulilia usiku na mchana.
*Wakati mwingine Mungu hatupi kile tunachotaka ila anatupa kile tunachostahili*
Iko njia ionekanayo sawa machoni pa mtu lakin mwisho wake ni njia iendayo upotevun..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.