Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
D498
Mzima habari yako babeHaha....mzima we!?
[emoji23][emoji23][emoji23]umempa nini uniq??sio kwa mashairi hayo[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Kwa miaka ya hivi karibuni kwa Liverpool ile ndiyo ilikua inaleta matumainiAt least combination ya Suarez ,struridge,sterling, Gerard,
Ilitaka kutupa ubingwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]WAPENZI WAWILI BAADA YA KUTOKA GESTI
JAMAA; "Daaah siamini kama leo Umenipa penzi lako maana nilikuwa nasikia wewe ni MGUMU sana kutoa penzi"
DEMU; "Ndio nilikuwa MGUMU lakini baada ya kupata UKIMWI nikaona haina haja ya kuwa mgumu tena..!!
Ana upendo tu[emoji23][emoji23][emoji23]umempa nini uniq??sio kwa mashairi hayo
Amina!Siku yako ni njema.!
Unae Mungu muweza wa yote.
Yeremia 32:27
[27]Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiliweza?
Hakuna lililogumu kwako, hakuna jaribu lililo juu ya nguvu ya Mungu itendayo kazi ndani yako.
Mungu anakuthamini sana hata amekupa siku ya leo akiwa na uhakika wa kukutunza na kukuwezesha katika yote unayoyapitia. Kaa ndani yake nae atakufanikisha kwakua mapenzi yake ni mema.
MUNGU ANAKUWEZESHA
Sent using Jamii Forums mobile app
TunangojaHADITHI NZURI YAKUSISIMUA...
Siku moja mzee Juma na mkewe mariam walifunga safari ya kwenda Zanzibar....
Hadithi itaendelea wakirudi toka Zanzibar,
😀😀😀😀