Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Majestic Singers - Mifupa Mikavu
The gunners alikua anasimama kati na Patrick vierra huku mbele yao alikua Robert Pires,Denis Berkamp na Freddie Jumberg huku mashambulizi yakiongozwa na TH14 chogo.Hivi alikuwa Chelsea
AmenTubarikiwe na nyimbo za kumtukuza Mungu
[emoji817]Karibu kwenye Uzi wetu pendwa
[emoji3] [emoji3]Ethiopia kuwapa rasta vitambulisho rasmi
Msimu wa mwisho wa timu ya wahenga kubeba ndoo[emoji1] [emoji1] [emoji1]The gunners alikua anasimama kati na Patrick vierra huku mbele yao alikua Robert Pires,Denis Berkamp na Freddie Jumberg huku mashambulizi yakiongozwa na TH14 chogo.
Sio liver,sio Manchester united wala Chelsea hakuna aliyekua anatamani kukutana na arsenal.
Season 2003/4
Games 38
Won 26
Draw 12
Lost 0
Daah! Umenikumbusha huyu msweden LJumberg,The gunners alikua anasimama kati na Patrick vierra huku mbele yao alikua Robert Pires,Denis Berkamp na Freddie Jumberg huku mashambulizi yakiongozwa na TH14 chogo.
Sio liver,sio Manchester united wala Chelsea hakuna aliyekua anatamani kukutana na arsenal.
Season 2003/4
Games 38
Won 26
Draw 12
Lost 0
Amefanya vizuri kuanzia akiwa mchezaji mpaka ukochaCruyff fundi haswa huyu jamaa nimecheki video clips zake hatari
Anakumbukwa kwa kutengeneza the dream team 1992 kina gadiola na Ronald koeman ndaniCruyff fundi haswa huyu jamaa nimecheki video clips zake hatari