Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Msimu wa mwisho wa timu ya wahenga kubeba ndoo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Msimu wa mwisho wa timu ya wahenga kubeba ndoo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikua anaroho ngumu sanaDaah! Umenikumbusha huyu msweden LJumberg,
Masawe alikuwa anatembea kurudi nyumbani akitoka kazini
Akiwaza moyoni ee Mwenyezi Mungu nikiokota hela 1000 nakupa 100 nikiokota 5000 nakupa 500 nikiokota 10000 nakupa 1000
Wakati akiwa kwenye fikira hizo mbele njiani kweli akaokota 9000
Masawe akafurahi sana akasema Mungu kweli mjanja yaani amekata 1000 yake kabisa
Hahahahaha wachaga kwa pesa hapana
Ukiyatazama maji kama mtu alieko Jangwani utaona kama maji ndio kitu cha muhimu kuliko vyote huku duniani.
Ukiyatazama maji kama mtu anaeishi sehemu yenye chemchem na mifereji ya kunyeshea mboga hutajua kama maji ni kitu gani kwenye maisha.
Ukiyatazama maji kama mtu alienusurika kufa kwenye meli iliyoua maelfu ya watu au ile Tsunami utaona maji ni kitu kibaya sana kwenye dunia hii.
Na hivi ndivyo ilivyo kwenye maisha yetu ya kila siku.
Usiwaambie watu maisha ni magumu au ni mabaya kwasababu ya kile unachopitia au ulichopitia. Usiwaambie watu ndoa ni mbaya kwasababu ya ubaya ulioona kwenye ndoa yako.
Usiwaambie watu jinsia fulani sio waaminifu kwasababu ya huyo uliekuwa nae.
#USIISHIE_NJIANI
Ambiere Kiviere
Sent using Jamii Forums mobile app