Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaaaa nimeshakusamehe.Lakini kwa uelewa wangu suala la utunzaji familia halihusiani na utamaduni ila sisi wanaume tukioa tunawachukulia wake zetu kama ni watumishi wetu wa kila jambo na kazi yetu kubwa ni kutafuta chakula cha mchana na usiku basi hatuna habari ya kushughulikia kazi za ndani na kuhudumikia watoto
Ilikuwa zamani hiyo mkuu. Siku hizi wote mnafanya kazi na kila mtu na wajibu wake. Na mambo nadhani yanabadilika.

Huko Uarabuni utasemaje kuhusu nafasi na dhima ya mwanamke katika jamii? Ndiyo maana nikakurejesha kwenye hoja ya utamaduni. Ndiyo maana mimi niko mwangalifu sana kulaumu tamaduni za watu hasa kama wenye utamaduni wao hawalalamiki.
 
IMG_3178.JPG
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unacheka nini!!!?????
 
Back
Top Bottom