Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JINSI YA KUPIKA EGG CHOP Mahitaji •Mayai yaliochemshwa 4 •Nyama ya kusaga robo kilo •Kitunguu swaum •Tangawizi •Limao •Chumvi •Pilipili •Breadcrambs •Carry powder •Binzari nyembamba ya unga •Yai moja bichi •Mafuta Matayarisho Marinate nyama na pilipili, kitunguu swaum, tangawizi, limao, chumvi, carry powder, binzari nyembamba na breadcrambs pamoja. Kisha vunja yai moja bichi kwenye kibakuli na ulikoroge kisha tia kwenye mchanganyiko wa nyama.Gawanisha matonge manne kwa ajili ya kuzungushia kwenye mayai .Chemsha mayai kwa muda wa dakika 20. Yakisha iva acha yapoe na kisha yamenye maganda na uyaweke pembeni. Baada ya hapo chukua yai moja lililochemshwa na ulizungushie donge moja la mchanganyiko wa nyama. fanya hivyo kwa mayai yote yaliobakia. Baada ya hapo paka mafuta kwa nje ya hizo eggchop na kisha paka mafuta kwenye sinia la kuokea na uziokee kwenye oven kwa moto wa kawaida, kwa muda wa dakika 20.Na eggchop zako zitakuwa tayari kwa kuliwa
 
MKATE WA MAYAI MAHITAJI Mayai (eggs) 1 mug Unga wa ngano (plain flour) 1 mug Sukari (sugar) 3/4 mug Hiliki 1 tsp Baking powder 1/2 tsp JINSI YA KUTENGENEZA Washa oven 160°c Ipake mafuta pan ya kuchomea (sufuria) weka pembeni Changa unga na baking powder uchunge kwa chungio weka pembeni Saga mayai sukari, hiliki kwa hand mixer sana mpaka yavimbe na yawe fluffy about 20mins (kila ukisaga sana mkate unatoka laini zaidi na mzuri zaidi) Than tia unga uchanganye kwa mwiko or spatula changanya vizuri ili unga uchanganyike ila usichanganye sana ili mayai yasirudi (dont over mix) Mimina kwenye pan yako ulopaka mafuta weka kwenye oven choma kwa nusu saa au zaidi mpaka ukitia kijiti kitoke kilavu Note Usiutowe kwenye oven kuuangalia mpaka at least after 25mins Enjoy na coffee
 
*Jana nlienda kununua parachichi la mia tano nkaomba mfuko,mama haika akaniambia hatoagi mfuko kwa vitu vya chini ya elf moja Leo nimeenda kununua vocha ya elfmoja nkaomba mfuko...mpaka sasa muuzaji ananikodolea macho sijui anataka kunipa mifuko Miwili........!!!!!!!!*

[HASHTAG]#najitaid[/HASHTAG] kujitambua[emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NDIZI ZA KUKAANGA (PLANTAINS) MAHITAJI ndizi mbizu (ripe plantains) 3 Mafuta ya kupikia (cooking oil) 5 tblsp Chumvi kidogo (pinch of salt) MATAYARISHO zikoshe ndizi na maganda yake kisha zikate size unopenda (zikate na maganda yake ndio zinakatika vizuri). Ukimaliza kuzikata ndio unazimenya, ziweke kwenye bakuli weka chumvi mix kidogo. Weka frying pan kwenye jiko, tia mafuta ukiona kidogo ongeza lakini yasiwe mengi yakafunika ndizi wakati wa kukaanga. Zikaange pande zote mbili usiziache sana zinaiva mara moja. ENJOY ni tamu sana.
 
Back
Top Bottom