Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Half cake:- 5 unga (self raising flour) 1 sukari kikombe Nusu kikombe mafuta Hiliki 2 vijoko vikubwa rob 1 kijiko kikubwa vinegar 4 mayai 1/2 maji 2 vijiko vikubwa maziwa ya unga 2 vijiko vikubwa nazi ya powder ❤ Kanda half paka mafuta ufunike kidogo tayarisha mafuta ya kuchome kata madonge sukuma kidogo tu kata na kuchoma... Usitie mwngi mengi wakati unachoma sbb yanavimba
 
MKATE WA UFUTA MAHIJAJI UNGA NAZI MAZIWA CHUMVI KHAMIRA MAYAI 2 MATAYARISHO CHANGANYA VITU VYOTE PIGA KWA MKONO MPAKA UCHANGANYIKE VIZURI UWE MZITO KULIKO WA KAIMATI UKIUMUKA TANDAZA KTK FRYING PAN NYUNYIZA UFUTA CHOMA KWA OVEN MOTO WA CHINI HALAF WASHA MOTO WA JUU SUBIRI UIVE TOA NA TAYARI KWA KULIWA NB UNAWEZA KUCHOMA KW MKAA,WEKA MOTO KIDOGO CHINI ,NA MOTO WA JUU UZIDI KIDOGO
 
VISHETI VIPIMO: Unga wa ngano kilo 1 Yai 1 Kastad vijiko viwili vya kulia Siagi/samli robo Maziwa ya maji /juice ya chungwa glass 1 na nusu Sukari nusu Bp kiac JINSI KUTAYARISHA Changanya unga na siagi mpk vchngnyike pmj na yai, Tia kastad powder na bp changnya Tia maziwa au juis ya chungwa changanya mpk uwe kitu kimoja Unauponda kidogo tu ucwe mlaini sn au tepetepe Than unafny km vishet vya kawaida ila unakata vdonge kw mkono tu Than unachkuwa kidonge kimoj kmj unapitisha juu ya chujio la tambi Unafny hivo mpk unamaliza kisha unachoma km kawaida ya vihet vyengine kwny karai Unatia shira tayari kwakula?
 
Back
Top Bottom