carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]wacha weeeKweli kbs,haya ni yetu tu
[emoji23][emoji23][emoji23]wacha weeeKweli kbs,haya ni yetu tu
Mpenzi carbamazepine hivi ni vichekesho tu mpuuze huyu mzee anajaribu kuchekesha tuUsimsikilize anaugulia huyo, Cole kapata wa chuo....
Unawaza kinyume nyume shemeji. Naongelea utu. Heshima. Upole. Kujali. Ungekuwa na haya kusingekuwa na hizi safari za mara kwa mara kwenda Kibiti kumtafuta KK au pwani huko kwa Moudgulf.Anaijua shughuli yangu,ndio maana akiondoka hafiki mbali,anarudi.Au shemeji ulikuwa unaulizia matendo gani?
Abeee mpe......[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] carba...
Good[emoji122] [emoji122] [emoji122] nitunze nikutunze tudumuKweli kbs,haya ni yetu tu
Nipo dadangu. Kwema huko kwetu?Kaka shimba nakusalimia
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siachi hadi "nisikie nawaona mjue"
Hahaha imenikumbusha siku hile kk alivyoimba gospelShemeji sijawahi kumuona uniq anaimba mashairi kama leo ikabidi niulize isijekuwa kachezea chaga jana[emoji2][emoji2]
Nilishawahi paka utomvu wa alovera kwenye kovu la moto aiseeh niliwashwa hadi nikajuta1...Kutoa sugu ..... . . Kutoa sugu vidoleni mikononi na miguuni na viwiko vya mkono...chukua jani la malovera lile fresh likate litatoa maji maji yale maji paka eneo husika kisa massage km dk 10 hivi baada ya hapo iache km dk 30....then baadae osha..... . Pia maji ya mualovera unaweza kuchanganya na mafuta ya mlozi(almond oil)ukapaka km nilivyoeleza . . UKIPAKA HII USIKAE JUANI UNAWEZA BABUKA NGOZI
Nzuri mkuu
Naona wazee mnafarijianaKwa raha zetu