i keep ma promise
Senior Member
- Feb 8, 2017
- 152
- 489
HahahahHahaha kuliko
Claudio Makelele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] carba...Kiselaaa kiselaa
Haya mapenzi mbona ni ya kisela[emoji443] [emoji443] [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji445]
Kwa raha zetuUsimsikilize anaugulia huyo, Cole kapata wa chuo....
“Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu. BWANA atanitimilizia mambo yangu; Zaburi 138:3, 8a, 2, "Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu, Nitalishukuru jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako, Kwa maana umeikuza ahadi yako, Kuliko jina lako lote.” Asante Mungu kwa Neno lako ambalo umelikuza kuliko jina lako lote. Asante kwa sababu wewe ndio utanitimizia mambo yangu ambayo nimekuwa nikikulilia usiku na mchana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]siachi hadi "nisikie nawaona mjue"Hayakuhusu lakini
Aisee bro hili neno bora kabisa na limetoka kwa Mwenye Enzi Mkuu*Huwezi Kuwa Serious Na Maisha Afu Mwaka Mzima Unajadili Lowassa Na Magufuli Wakati Hela Huna. Utakuwa unahitaji Kusaidiwa Kifikira Mambo Yanayohusu Tundu Lissu, Sijui Lema, Sijui Nape, Arsenal Na Liverpool Yataendelea Kuwepo Tena Yatazidi Kuongezeka. Usiwe "Teja" Wa Mambo Ya Aina Hiyo. Hayataisha. Sasa Usipoangalia Mambo Yako Utashanga Umefika Miaka 40 Bado Unaishi Nyumba Ya Kupanga Bado Unapanda Daladala Bado Unaongelea Maisha Ya Watu Eti Unatoa Hoja. Time Is Money. Be Careful. Point Yangu Ni Kuwa Ni Kweli Kabisa Mambo Yanayotokea Kwenye Jamii. Ila Usichojua Ni Kwamba Bakhressa Naye Anajua Yanatokea Ila Tofauti Ni Kwamba Yeye Anaangalia Maisha Yake Wewe Ndio Unatumia Mda Wote Kuwa Mchambuzi Mara Siasa, Mara Mpira, Mara Wasanii. Kila Mada Unajua Magufuli Kamaliza Mwaka Wewe Unajadili Atamaliza Mwaka Wa Pili Bado Unazidi Kukasirika Na Kujadili Wa Tatu Hvyo Hivyo. Uchaguzi Ujao Unakukuta Uko Hivyo Hivyo Afu Unasema Humpi Kula. Wengine Wanampa. Unarudi Kujadili Tena 2020 Hadi 2025 Kisha Unasema Unataka Kuwa Kama Bakhressa Kweli? Utaacha Kufa Maskini Kweli...??*
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata salaam sina naoAchana nao hao
Dooooh![emoji22][emoji22][emoji22]Usimsikilize anaugulia huyo, Cole kapata wa chuo....
1...Kutoa sugu ..... . . Kutoa sugu vidoleni mikononi na miguuni na viwiko vya mkono...chukua jani la malovera lile fresh likate litatoa maji maji yale maji paka eneo husika kisa massage km dk 10 hivi baada ya hapo iache km dk 30....then baadae osha..... . Pia maji ya mualovera unaweza kuchanganya na mafuta ya mlozi(almond oil)ukapaka km nilivyoeleza . . UKIPAKA HII USIKAE JUANI UNAWEZA BABUKA NGOZI
HahahahahaTUNAKUMBUSHANA TU
Mwaka Umri
1990. 27
1991. 26
1992. 25
1993. 24
1994.23
1995.22
1996.21
1997.20
Sasa wewe endelea kujiona bado mdogo [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana
GooooodMbona kama kajimwagia maji
Wivu unakutesa mama.Nawe muite mwana ngonjera....We mdanganye danganye tu ukimwambia ukweli ataumia[emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji443]