Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mmmh kuna ukweli hapa kweli????Na huyo mwingine hata kaa atokee ni mimi na wewe tu nafasi ya mwingine haipooo[emoji9][emoji9][emoji9]
Kwa kweli kukosa EPL Gerald imeniuma sana but maisha yanasongaI'm not Liverpool fan lakini ile Sikh roho iliniuma sana mana sikutaka Gerrard atoke bila epl
Sometime unakuwaga na akili nzuri sana.Nimeona ndio mana nikawa namsihi aache malumbano yasio na maana cha msingi ni kukaa kimya na kupuuza
Xzavery xaviHahahah
Ljumberg alikua ni kiungo mshambuliaji asiye kata tamaa na goli,analazimisha vbaya
Yaani mimi nikiona mtu anamsogelea Cole wangu namchukulia RB[emoji23][emoji23][emoji23]sicheki na kima..kwa Cole napambanaMmmh kuna ukweli hapa kweli????