Karibu mama ila nna neno la kukwambia....nimerudi kwa speed ya 4G
Miss you babyto. [emoji7]Salama best. Miss u mingi mingi aisee
Kwa wazee wa makinikiaHuu uzee huu mzigo,
kwani hapa ni wapi?
Nimeona kabisaaaaUmeonee [emoji2]
Umepata [emoji2]Hebu likes za kutosha
Mi nalike tuu maana ndio hobby yangu kwa sasaNilichungulia saa saba usiku nikaona unawa like -sha tu watu. Habari ya asubuhi mkuu. Nakutakia sikukuu njema (ya like), enjoy the day
Wisdom is better than silver and gold and makinikiaThere's two days in every week you can't worry about. YESTERDAY & TOMORROW. You can't change what happened yesterday and can't control what will happen tomorrow. SO LIVE FOR TODAY!!
Ila haziongezeki mi naona ziko tano tu au nyie mwaona tofauti?Nkikuta una likes 5 mimi nakuongezea ya 6.
Hahahaaaa ukisema "nime like" kwa sauti atageuka. Maana ndio utambulisho wetu kwa sasaNipo kwenye daladala hapa namuona mshikaj amekaa siti ya mbele yangu naye yupo kwenye huu uzi,naona anatabasamu tu na kutoa likes,cjui nimshtue [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Habari ndo hiyo! Ukitaka kula sharti na ww.............. (kwa hisani ya JK)
Ha ha ha ha bila shaka wewe utakuwa umewaza mbaali kabisaGame gani hiyo?
Utazipata hadi uchoke, stay tuned!Hebu likes za kutosha
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watch it in JPM voice