Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa ole wako nikukute unaimba paraboz na yule mtoto wa kishua[emoji23][emoji23][emoji23]ukitaka kuongea kuhusu mpira mtafute Numbisa
Mkwara hevi ha haaaaa. Ila kale katoto ka kishua kana mvuto fulani hivi hasa kakianza makwotesheni ya kimitego tego. Kanaonekana kama kasomi fulani hivi ka kiwango kiwango. Ndo maana bwana mdogo alianza kutetereka kidogo. Ni afadhali sasa umemuweka wazi hata akija kupuyanga tena mashahidi tupo!
 
Bro naona utakuwa shahidi no 1
 
Hakuna mtu mwenye ndugu wengi kama konda wa daladala.
Utasikia,
"HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO.
MA-MDOGO UNAENDA?,
NGOJA ASHUKE BIBI.
HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAH.
Babu njoo ukae!
Baba angu hapo tusogee kidogo,
Shangazi maliza ngazi,
Swaiba geukia mbele,
Kaka hapo shika upande wa pili,
Mdogo wangu mpishe Ma Mkwe akae.
Subiri Shemeji yako apande…
Duh… makonda noma…!!
 
Shimba
Vidogo vinasumbu akili!
Lazima mtu ampate mdada ambaye yuko together!
FULL package!
Michuzi ya kumwaga!
Si unaelewa!
 
Jamaa yangu alinipigia simu
JAMAA: matokeo yametoka twende tukayaangalie
MIMI: nipo na mzee siwezi nenda kaniangalizie, ukikuta nimefeli somo moja niandikie 'nakusalimia' na ukikuta nimefeli masomo mawili andika 'nakusalimia' wewe na mzee wako..

Baada ya mda sms ikaingia 'nakusalimia wewe, baba yako, mama yako, familia yenu yote pamoja na majirani zenu wote'

Hapa naona mawenge, nadhani zile bhangi nilizovuta kitambo zinafanya kazi sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…