Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha ni milima na mabonde,hata vyombo husigana kwenye kabati.Malaika walishindwana huko kwa Baba,wakatupwa kuzimu,kwanini mimi na nsamaka ugomvi wetu uwe habari?(tumesha kuwa Diamond na Zari!!!)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Busara sana!

Shemeji, kwani watu wanajuaje kuhusu ugomvi wenu? Wamewawekea mitambo ya udukuzi nyumbani mwenu au ni nyinyi wenyewe mnaanika mambo yenu?
 
Shemeji kamchukue tu dadayako anazeeka bure
[emoji23][emoji23][emoji23]nsamaka kumbe mbwembwe zote zile ndoa yenyewe ya mkopo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana shemeji. Ng'ombe siyo ishu. Kama ana furaha basi inatosha. Mi nataka tu dada awe na furaha basi ila sipendi hawa mashemeji wanavyonisingizia kunipa ng'ombe wakati wengine hata kuonana bado!
 
Screenshot_2017-07-30-18-53-08.png
 
Back
Top Bottom