Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
D819
Itabidi niwe makini. Mtu anasema kakupa ng'ombe 15 halafu ng'ombe wenyewe hawaonekani utafikiri umewaficha mfukoni. Inashangaza sana!Shemeji zako matapeli
Teh teh teh mwaga malikes tu leoNilikuwa bize naingia humu kwa kuibia ibia. Sasa niko rasmi. Aliye na shida ya likes aseme sasa. Nina lori zima la likes hapa![]()
Tena leo wewe nataka kula nawe sahani moja. Weka hizo code zako tuone sasa!Teh teh teh mwaga malikes tu leo
HahahhaNilikuwa bize naingia humu kwa kuibia ibia. Sasa niko rasmi. Aliye na shida ya likes aseme sasa. Nina lori zima la likes hapa![]()
Yule mwingine umefanya vizuri ku-ignore. Hata waliokuwa wanajaribu kujibizana naye walikuwa wanapoteza muda tu.Hahahaha
His very kind!
Kunisaliti hapa sijui kama naweza kusamehe kwakweli hata kama kosa ni languNitajie mawili shemeji.
Niko na furaha sana na hii ndoa yangu. Tena na enjoy sana kaka.Hapana shemeji. Ng'ombe siyo ishu. Kama ana furaha basi inatosha. Mi nataka tu dada awe na furaha basi ila sipendi hawa mashemeji wanavyonisingizia kunipa ng'ombe wakati wengine hata kuonana bado!
I hate monday's[emoji22][emoji22]Kesho ni siku ya Kazi