Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kunisaliti hapa sijui kama naweza kusamehe kwakweli hata kama kosa ni langu
Kutoniheshimu/kunidharau hayo sijui kama nitasamehe
Sawa nimekupata shem. Ni kweli. Mkalishe chini bwana mdogo umwambie kabisa kuhusu mambo haya ili siku akipuyanga huko ajue kabisa kuwa amevuka mstari. Ni muhimu kujulishana haya mambo from the get go!
 
Back
Top Bottom