Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
D827
Hapana shemeji. Ng'ombe siyo ishu. Kama ana furaha basi inatosha. Mi nataka tu dada awe na furaha basi ila sipendi hawa mashemeji wanavyonisingizia kunipa ng'ombe wakati wengine hata kuonana bado!
Basi tupige vigeregereNiko na furaha sana na hii ndoa yangu. Tena na enjoy sana kaka.
Mapema hiviI hate monday's[emoji22][emoji22]
Urudi tuwange ndani ya Uzi...Mpka mida ya wanga nitarudi
Na aache kukodoa macho barabaraniThat's all that matters. Mengine yote madogo! Mungu Aendelee kukubariki na kukupa furaha. Usichoke kumwombea Andjul ili azidi katika busara na upendo!
Nimesikia bro kuhusu kumsaliti duuh hata asiwaze nipo very very committed na mwanamke mmoja Tu ambae ni carbamazepine mimi kumuacha siwezi labda yy aniache mimi.Cole umesikia?
Wewe nomaTangu saa Tatu asbh nipo hapa
Na kuhusu heshma bado kidogo nipatage tuzo ya heshimaCole umesikia?