Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images
 
Tuwaombee
Siyo kuwaombea pekee. Mwisho wa mwezi kama sehemu ya zaka tuwapelekee cho chote. Vijisenti vya kujikimu. Sabuni. Matunda. Cho chote. Na cha muhimu zaidi faraja na matumaini. Kuongea nao. Kuwasikiliza. Kuwaambia kuwa Mungu Anawapenda. Hajawasahau. Watapona....Ooooh farijiko lililoje. Ridhiko la kweli!
 
Back
Top Bottom