myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Salama kabisaWakuu kumekuchaje?
AmenMungu Ametupa siku nyingine nzuri
KabisaHebu basi na tukaitumie vizuri
[emoji115] [emoji111] [emoji111] [emoji817]Tukawasaidie binadamu wenzetu...
TuwaombeeNa wagonjwa wanaoteseka Mahospitalini
Siyo kuwaombea pekee. Mwisho wa mwezi kama sehemu ya zaka tuwapelekee cho chote. Vijisenti vya kujikimu. Sabuni. Matunda. Cho chote. Na cha muhimu zaidi faraja na matumaini. Kuongea nao. Kuwasikiliza. Kuwaambia kuwa Mungu Anawapenda. Hajawasahau. Watapona....Ooooh farijiko lililoje. Ridhiko la kweli!Tuwaombee