Very trueSiyo kuwaombea pekee. Mwisho wa mwezi kama sehemu ya zaka tuwapelekee cho chote. Vijisenti vya kujikimu. Sabuni. Matunda. Cho chote. Na cha muhimu zaidi faraja na matumaini. Kuongea nao. Kuwasikiliza. Kuwaambia kuwa Mungu Anawapenda. Hajawasahau. Watapona....Ooooh farijiko lililoje. Ridhiko la kweli!
AMUN RA