Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Baraka za mungu ziwe juu yenu enyi MADAKTARI wa taifa hili, jukumu lenu ni kubwa, afya za watanzania milioni 48+ zinawategemea nyinyi. Naamini pamoja na kufanya kazi mkiwa na uhaba wa vitendea kazi hamtagoma tena, wala hamtarudia kosa la kufungua ubongo wa mtu aliyevunjika mguu. Nyinyi wazalendo kweli kweli. Mbarkiwe sana"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…