Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiogope wingi wa maadui walio zunguka maisha yako,
yupo Mungu yeye ni mtetezi wa maisha yako
ISAYA 43:1-2 Usiogope maana nimekukomboa; nimekuita
kwa jina lako,wewe u wangu.
Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja na wewe; na
katika mito,haitakugharikisha; uendapo katika moto
hautateketea; wala mwali wa moto hauta kuunguza.
Usiogope Usiogope Usiogope.~
Usikose ibadani ukiupata muda wa kumuabudu MUNGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom