The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Beijing
Daima nitasimamia ukweli shemeji. Mahari ulitoa ng'ombe 20 bila kutuzungusha. Ndiyo maana tunashangaa sana kwa nini kumalizia hawa 15 imekuwa shida.Endelea kukanusha maana hawa vijana wameniandama kuliko kawaida.Wanafurahia kushindwa kwangu....