Gr8 kwa kweliHabari ya asubuhi Goddess Isis
Hahahahaha huu wimbo unapendwa sana sijui maudhui yake niniMwisho wa mwezi
"mwanaume mashine"
Habari MkuuWakuu kumekuchaje?
Good for you my dearestNimempotezea muda sana naona post zake sijajibu hata moja
Mungu ni Mwema hakikaMungu Ametupa siku nyingine nzuri
AminaKwa kufanya yampendezayo Mungu wetu.
salama mzee wa liver..Morning myoyambendi
AminaHebu basi na tukaitumie vizuri
AminaTukawasaidie binadamu wenzetu...
AminaNa masikini wasio na kitu
AminaNa wagonjwa wanaoteseka Mahospitalini
Remain blessed my dearHapo baadae
Zaka ,Sadaka ,ni muhimu katika maisha yetu ya kila sikuSiyo kuwaombea pekee. Mwisho wa mwezi kama sehemu ya zaka tuwapelekee cho chote. Vijisenti vya kujikimu. Sabuni. Matunda. Cho chote. Na cha muhimu zaidi faraja na matumaini. Kuongea nao. Kuwasikiliza. Kuwaambia kuwa Mungu Anawapenda. Hajawasahau. Watapona....Ooooh farijiko lililoje. Ridhiko la kweli!
Good morning my QueenAMUN RA
Habari WatanzaniaGOOD MORNING TANZANIA
Good morning my love!Good morning my Queen
Habari wana Dar es salaamGood morning my Dar es Salaam city
Morning My dearGood morning wana likes
HahahahahaShemeji yangu Andjul. Nakutakia Jumatatu yenye mibaraka. Andaa ng'ombe wetu plizi...