Baraka za mungu ziwafakie askari jeshi wetu, Hakika jukumu mlilopewa na nchi ni kubwa, na mmefanya mengi makubwa ambayo mungu ameyaona na dunia imeona. MBARIKIWE sana
Baraka za Mungu ziwafikie madereva wote, kwa miaka na miaka mnasafirisha bila kuchoka ingawa mazingira ya barabara zetu, anga letu na reli yetu yanachosha. MBARIKIWE wahenga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.