WordI don't get angry,
I am professional.
IndeedNot negative.
Asante sanaHaya Waungwana nimeshapiga page 20 za likes, nitaendelea tena baadaye nafasi ikiruhusu kupiga 15 au 20 nyingine za likes za kufa mtu.
OkMlioko huko mbele msiache kunidondoshea likes mtu wenu.maana huku nyuma simuachi mtu ni mwendo wa kukupeni likes hadi vidole vyaniuma na sitachoka wala sichagui na notfcation mtaziona tu
Sent using Jamii Forums mobile app
WordBaraka za mungu ziwafikie waendesha mitandao wote ambao leo wametupatia ukumbi muhimu kama huu, kujumuika pamoja, tukiwa mataifa mbali mbali, miji mbalimbali, tumekusanywa pamoja watu tusiojuana wala kuonana kabla. kwakweli nyinyi mbarikiwe sana na rehema za mungu ziwashukie
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe stories BAKHeshima yako Mkuu