Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-07-31-11-47-51.png
 
Rehema za mungu ziwamulike wale wote wenye mamlaka yenye nguvu, ambao wametufanyia uvumilivu kwa mapungufu mbali mbali tuliyonayo ndani ya mitandao yetu ya kijamii. Namuomba mungu awajaze moyo wa uvumilivu ili tufaidi matunda haya ya dunia nzima. Mungu baba wajaalie subira viongozi wetu hao ili waiche mitandao iendelee na jukumu la kuelimisha, kuburudisha na kuhabarisha uma mubashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom