Itabidi tu kushukuru kilichovunwa hapo hakuna kingine [emoji2]Endapo uzi huu ukifutwa
Wataje wawili tu.Humu ndani kuna mijamaa haitoi like...
Unapenda likes weweTangulia tunakuja ngoja tuchukue kitafunwa hapa
Mweleze huyo [emoji2]Nimekuona muda mrefu tu jinsi unavyobagua mtaa wetu wa Mchikichini.
Unachokitafuta utakipata
Msema kweli mpenzi wa Mungu.....mbona huna hisia humu ndani??[emoji19]Sijatoka humu ndani tangu juzi
Tangu juzi unafanya nini? Kiwango chako cha likes hakiridhishi!Sijatoka humu ndani tangu juzi