salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Mmmmm.....una uhakika??[emoji28] [emoji28] [emoji28]Wiki nini... Tunahitaji masaa machache
Mmmmm.....una uhakika??[emoji28] [emoji28] [emoji28]Wiki nini... Tunahitaji masaa machache
HahahahaNa wewe usiwape like
Kwa mfano unabanduka unakwenda wapiHabanduki mtu hapa
Niko nae napewa mambo makubwa hukuKumbe ndo mna nyiramba girl sijamuona humu tangu jana
Kwa kweli nimesahau maana malike matamu sanaUsisahu siasa uwe unachungulia chungulia.
Hongera kwa kuleta Uzi addictive....Kama kawa jtatu tulivu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] utamfanya atoke sasa hiviKwa mfano unabanduka unakwenda wapi
WhowNiko nae napewa mambo makubwa huku
Napata euphoria ya ajabu
HaposaKwa mfano unabanduka unakwenda wapi
hahaaaa[emoji23] [emoji23]Niko nae napewa mambo makubwa huku
Napata euphoria ya ajabu
Good luck
Mama kubwa pole na majukumu ya ndoaYaani huu upendo ni balaa sikuwa hewani twa days lakini nimekuta kiloba cha like ss naanza kuzimwaga.
HiyoMpaka sasa nisha like mara 2,000
Sasa naweka shati pembeni tayari kwa ku like tu,
Ukiuliza sina kazi jibu sina.
Wewe mwenyewe huwezi kususia like iwe mimiUlipotea....nikajua umesusia likes
Angekuwa na div one hata point ya mwisho hakuna mkazi wa Dar angeruhusiwa kijisaidia haja kubwa.Tena jamaa mkali. Pamba Sec school kumbe alipata div. I ya point 8...Bashiteeeeee...
Tumwagie bi mkubwaYaani huu upendo ni balaa sikuwa hewani twa days lakini nimekuta kiloba cha like ss naanza kuzimwaga.
Ni nafasi ya pekeeKama hujawah kupata like jf bas tumia nafasi hii